Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nachofurahi ni kuona mashabiki wa Argentina wanaipigia chapuo Morrocco ila kwenye mkeka wamefanya maamuzi sahihi
Waache wajifariji mana wote tu mfa maji mda wowote wanakata roho Argentina wanaogopa kukatana na France zile Goli nne pale Russia bado zipo kichwani mwako ule mgoli wa pavard unazan watasahau Goli lilishinda Tuzo ya Goli Bora unazan watasahau
 
FB_IMG_16710459903253317.jpg
 
Ni waafrica kwa sababu nchi yao iko bara la Africa. Ni Waarabu kwa sababu ni wanachama wa nchi za kiarabu, ni wazungu kwa sababu wanatumia baadhi ya tamaduni za kizungu kama kuongea kifaransa na kumiliki visiwa kwa ubia na Hispania. Mambo ni mengi
 
1. Morocco nimependa morali ya mashabaki.
2. Mechi ina ladha kuitazama
3.Messi ni fundi kuliko Ronaldo ukweli mchungu. Japo siku hizi ananikera kaanza kuwa mhuni na kuna wakati kweli alibebwa uchezaji bora wa dunia.
4. France anamaliza mchezo haina 120
5. Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom