Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Naona wadogo zetu Morocco mnanyanyaswa
Msihofu kaka zenu tutalipa kisasi waacheni waje hao kina sijui fifana
 
Wow. What a game. Morocco wanafunguka kutafuta chochote kitu France nao wanatuonesha namna ya kuzicheza game kama hizi. Wana uwezo wa kushambulia lakiniwanaonesha discipline kubwa.

Morocco wana vipaji sana
Moroco leo wamefunguka sn, kumbe wanaweza kucheza vzr hiv yn mpira unaovutia sio kuzuia tu na kukaba. Wamekosa magoli dk hiz za mwisho. Kipind cha pil mechi itanoga zaidi
 
Back
Top Bottom