Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hapana mimi ni Team Brazil, lakini ni shabiki wa kutupwa wa Messi nampenda sana.Huku tushajaa we ungetafuta timu nyingine ya kuishabikia
Mkishaona tu timu nzuri inacheza basi lazima mje upande wetu
So lazima nishabikie team yake Argentina. France pia wangu 🤣🤣🤣🤣🤣