Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hivi huyo Messi kakufanya nn hadi ufie kwake?Hapana mimi ni Team Brazil, lakini ni shabiki wa kutupwa wa Messi nampenda sana.
So lazima nishabikie team yake Aegentina. France pia wangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Balloon D'O 7 za mchongoKING MESSI. yule mwenye ballon dioo 7.
Uki click hapo inakuja depalNo, hajachange
Hivi nani kamtaja huyo mtu?So fair mkuu,cr7 yupo zake uwanja wa real madrid na mwanae wanapiga tizi kama kawa bt wanapigia tizi upande tofaut na alipo ancellot.
Hawana baya.
Ahaahaahaaa noma mkuuNachofurahi ni kuona mashabiki wa Argentina wanaipigia chapuo Morrocco ila kwenye mkeka wamefanya maamuzi sahihi
Upe yumokukosekana kwa Rabiot na upamecano kunafanya France iwe dhaifu, natumaini fainali watakuwepo.
Kwa moto huu mlopelekewa dk hiz za mwisho lolote linaweza kutokea. Mlitakiwa muongoze goli mbil hv yn hawa moroco wanatakiwa wafungwe dabo daboKaka shughuli yetu haiendi matuta, tunamkanda mtu mapema tu
Waache wajifariji mana wote tu mfa maji mda wowote wanakata roho Argentina wanaogopa kukatana na France zile Goli nne pale Russia bado zipo kichwani mwako ule mgoli wa pavard unazan watasahau Goli lilishinda Tuzo ya Goli Bora unazan watasahauNachofurahi ni kuona mashabiki wa Argentina wanaipigia chapuo Morrocco ila kwenye mkeka wamefanya maamuzi sahihi
Mnatazamaje mpira?
Kama wewe yaaniHivi kumbe nawe unapendaga mpira kiivi??
Wakati wa kubet wanakuaga na akili zao timamu ...Nachofurahi ni kuona mashabiki wa Argentina wanaipigia chapuo Morrocco ila kwenye mkeka wamefanya maamuzi sahihi
BenchUpe yumo
Shughuli sio yenu hii wenyewe tunajua namna ya kucheza hizi gemuKwa moto huu mlopelekewa dk hiz za mwisho lolote linaweza kutokea. Mlitakiwa muongoze goli mbil hv yn hawa moroco wanatakiwa wafungwe dabo dabo