Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Cameron inautulivu kwa sababu ya etoo yupo km kiongozi

Ila bahati mbaya kwao wanakikosi cha kawaida na wapo kundi gumu

ni kweli

ila hawa jamaa wanaofanya vizuri huwa wanapewa pesa mingi sana

USA$822,000Shilingi 1,916,904,000
Denmark$688,000Shilingi 1,604,416,000
Australia$680,000Shilingi 1,585,760,000
Germany$415,000Shilingi 967,780,000
South Korea$390,000Shilingi 909,480,000

Hizi ni fedha watakazopewa mchezaji mmoja mmoja endapo nchi zao zitashinda kombe!
 
Sasa sii unajua tena wachezaji wote sii wa ulaya ulaya....senegal timu nzima ulaya. Huku waziri wetu anataka kutupa matumaini eti tutaenda world cup kwa wachezaji wa simba na yanga
watapigwa kama ngoma, wamuulize muiran alichofanywa na mkoloni!
 
Wanangu wa Saudi Arabia tujuane mapema
Tunaomba Messi awepo tutaipiga hao watu wafupi virikuu mpka Messi astaafu mpira Leo Leo [emoji1210][emoji1210][emoji1210]
Waarabu na Waafrika hawatavuka makundi

Ukizipa matumaini hizi timu utakuwa disappointed sana, we enjoy tu mpira, mfano mzuri ni senegal jana!

hili kombe limekuja wakati ligi za ulaya ndo zimepamba moto, yaani katikati ya msmu

Timu ambazo zin wachezaji wa ulaya wengi ndio zitafanya vizuri.

hawa kina wenzangu na mie waarabu na waafrika watapata tabu sana kufunga hata goli moja au kupata point angalau 1


kombe litaenda ulaya au south america
 
The leagues with the most players who are participating in the World Cup:

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League (164 players)
🇪🇸 La Liga (87 players)
🇩🇪 Bundesliga (81 players)
🇮🇹 Serie A (68 players)
🇫🇷 Ligue 1 (57 players)
 
Waleeeeee wa messiiiiiii
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…