HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Jana penalt imewaua, japo Uingeleza anaweza asimfunge USAUsa bado, assume Uingereza anamfunga Usa mechi ijayo, wales anamfunga iran ama Iran anamfunga Wales hapo Uingereza anakuwa amefuzu, ina maana mechi ya Mwisho Uingereza na wales hawapangi full mziki watapumzisha watu kwa ajili ya Round 16 hivyo inakuwa mechi nyepesi kwa Wales.
Ili Usa awe na uhakika 100% kufuzu inabidi amfunge uingereza, otherwise imabidi aombee mabaya wengine ili yeye afuzu. Kundi gumu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app