Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Usa bado, assume Uingereza anamfunga Usa mechi ijayo, wales anamfunga iran ama Iran anamfunga Wales hapo Uingereza anakuwa amefuzu, ina maana mechi ya Mwisho Uingereza na wales hawapangi full mziki watapumzisha watu kwa ajili ya Round 16 hivyo inakuwa mechi nyepesi kwa Wales.

Ili Usa awe na uhakika 100% kufuzu inabidi amfunge uingereza, otherwise imabidi aombee mabaya wengine ili yeye afuzu. Kundi gumu.
Jana penalt imewaua, japo Uingeleza anaweza asimfunge USA

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Official Starting Lineup [emoji1033]
Screenshot_20221122_115354_com.whatsapp.jpg
 
England na US ndo nchi ambazo zikiendelea sogea mashabiki wanaendelea tazama. Maana ndo wemye mashabiki wengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ngoja uone Brazil ama Argentina, hizi ndo Nchi pekee zenye mashabiki wengi duniani na wakicheza hadi watu wanakufa kwa ushabiki ama kujiua.

Jana Usa kawaida tu uwanja ulijaaa ila mapengo yalikuwepo, ila Ticket za Argentina ziliisha papo hapo zilivyotangazwa tu zikaisha.
 
Leo watu wanataka wamshuhudie Messi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Official attendances at the #FIFAWorldCup    so far:

#QAT    vs. #ECU   
67,372 (60,000 capacity)

#ENG    vs. #IRN   
45,334 (40,000 capacity)

#SEN    vs. #NED   
41,721 (40,000 capacity)

#USA    vs. #WAL   
43,138 (40,000 capacity)
 
Back
Top Bottom