Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ni waafrica kwa sababu nchi yao iko bara la Africa. Ni Waarabu kwa sababu ni wanachama wa nchi za kiarabu, ni wazungu kwa sababu wanatumia baadhi ya tamaduni za kizungu kama kuongea kifaransa na kumiliki visiwa kwa ubia na Hispania. Mambo ni mengi
Your browser is not able to display this video.
 
Alichokifanya Messi jana kimefanywa na Mbappe lakini kwasababu sio kazi yetu kupiga kelele kumsifia Mbappe tunakaa kimya
Hahahahaha bado unamuota Messi
Mzimu wa Messi unakutesa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…