Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Bure ghalama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bure ghalama...
Hajatoa pasi makiniNa bahati mbaya hakuwepo mchezaji wa kumalizia kazi nzuri ya Mbappe
Mwalike sasa aje mkuranga kutaliiNiache 😄😄😄😄 wewe jua tu nampenda kama navyowapenda mabitoz wa Brazil...
Ni waafrica kwa sababu nchi yao iko bara la Africa. Ni Waarabu kwa sababu ni wanachama wa nchi za kiarabu, ni wazungu kwa sababu wanatumia baadhi ya tamaduni za kizungu kama kuongea kifaransa na kumiliki visiwa kwa ubia na Hispania. Mambo ni mengi
Wivu tu 🤣🤣🤣🤣🤣Mwalike sasa aje mkuranga kutalii
Hahahahaha bado unamuota MessiAlichokifanya Messi jana kimefanywa na Mbappe lakini kwasababu sio kazi yetu kupiga kelele kumsifia Mbappe tunakaa kimya
Ajeruhiwe tu njia yetu j2 iwe nyeupeeee tupunguze vigingiiTunaomba refa amlinde Mbappe.
Yan hao wachumba uwafatishie France?Hivi france wanamjua wanae enda kukutana nae fainali au wanafurahi tu kuwafunga waarabu
France [emoji632] hii ya kubahatisha NO WAYHa haha kwan mkuuu MBAPE NA DEMBELE huwaoni? Hao nao wanawaita GOT
DahMoroco wanakosa magoli hapa