SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Hizo chenga anaweza sasa?Mbappe we kazi yako ni kucheza mpira watu tufurahi
Hili swala la kupewa sifa eti kisa umepiga chenga nyingi hiyo sio nature yako
Tushawatoa hawaNasubiri la tatu
Finali ni j2Mbappe we kazi yako ni kucheza mpira watu tufurahi
Hili swala la kupewa sifa eti kisa umepiga chenga nyingi hiyo sio nature yako
Waarabu wanatoka.
Tumekubaliana swala la kusifia linatakiwa kufanywa na mashabiki wa yule dwarfAsante mbape
Na hiki kichapo nacho kiwe ni kwa ajili ya nchi yao, Waarabu wenzao, na Uislam! Waafrika hatuhusiki nacho.Ngoma liishe hawa waarabu watoke. Watulie sasa. Wakapigwe na Crotia ata 3rd winner wakose.
Nilikuwepo tangu mwanzoUmeibuka sasa baada ya kupelekeshwa ipasavyo.
France tunacheza kwa mujibu wa plan yetu.Umeibuka sasa baada ya kupelekeshwa ipasavyo.
Saivi eti wanamshindanisha na Messi.Baada ya Ronaldo na Messi kuna Mbappe anakuja juu kuchukua nafasi zao hao sijui nayeye atakua na nani wa kushindana nae
Ata waingireza mpira walichezao wao ila fainali kaingia France kwahyo usishange kukimbiakimbia uwanjani hakumanishi utashinda mechiKucheza tunacheza Sisi Waarabu wa Morocco lakini kufunga wanafunga Ufaransa
Mpira una matokeo ya kikatili mno!