Hatutawadai kwasababu msingetulipaMatokeo yakiwa hivi Morocco 0-2 Ufaransa, hivi mtakuwa mnatudai chochote kile sisi Waarabu wa Morocco kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia..?!
Ndio manake wanapiga miruzi tu huko leo watalala mashavu yanawauma.Wavaa kobazi sio?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waleteni hao mapunye kirikuu kombe la dunia labda waliibe tu Argentina [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2447092
Asante Argentina na Mungu wetu wa mbinguni muumba mbingu na ardhi kwa kiwanyamazisha watu baada ya mechi ya jana.
Mechi ijayo najua Mungu hutatuangushaa
Wana nafasi ya tatu badoKipindi cha pili wapiga sana mpira ila mwendo naoana wanaumaliza hovyo mpaka 2026 tena
Waarabu ni shidaaaWana nafasi ya tatu bado