Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Refa wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
 
Kocha wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
Aaahaa Kumbe kocha ndio anachezesha mpira?

Tatizo nyie mabinti mnaomshabikia Christina Benchaldo hata mpira hamjui halafu mnajaza humu server bure
 
Argentina wana timu mbili ndani ya timu moja (Messi na timu ya Argentina)... Ufaransa wajipange Sana.
Ukweli usemwe mbali na Argentina kubebwa bebwa kwa penati tele lakini kiukweli wako vizuri zaidi kuliko France.

Sina shobo na Argentina waliopoteza vinasaba vya weusi wenzetu nchini kwao sababu ya ubaguzi wa rangi, bahati ya kubeba ndoo iwe na France, AMINA [emoji120][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…