Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Dah
Pamoja na kale kafupi nyundo kupewa penalty za bure kama peremende ila bado wapi!
Hakajatoboa[emoji16]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni ngumu sana, nahisi mpaka mwaka 5700 hakuna mchezaji atakayemfikia Christina Penaldo kwa Penalty.

Wakisema leo tufute magoli ya penalty Messi anamzidi Benchaldo magoli. Pamoja na kuwa Penaldo amecheza mechi 300 kumzidi messi
Halafu eti bado mnamuita goal machine
 
Kijana Ounahi ni moto...Moja ya Talent Moja matata sana,soufian Amrabat KAZI kubwa ufundi mwingi kwenye dimba la Kati France walipoteana sana,ulikuwa vema angecheza Adrien Rabiot na Tchouamen,Morocco wameonyesha kitu kikubwa katika soka la Dunia....Mbape ni Balaa lingine akifunguka hakuna wa kumlaumu.....kilichowaua Morocco ni umaliziaji pale mbele.
Yote KWA yote fainali itakuwa tamu vita ya Messi na Mbape nani ataibuka kidedea.
Tayari tushajua sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 ilimradi tu afikie rekodi za Mfalme wa soka duniani PELE.
 
Maneno ya kike uanze mwenyewe kwa kuniita kidume jina la kipumbavu, ukijibiwa unajaa povu [emoji848]

Funga bakuli siyo kujibu jibu Baba zako hapa JF kipumbavu we toto la miaka ya 80 hala [emoji57]
Nani kakuita kidume jina, umechanganyikiwa nini?

Yani kutolewa watolewe kina Penaldo, Kuchanganyikiwa uchanganyikiwe wewe?
 
Kale kababu bila penalty hakabadili game yoyote


Sisi Ufaransa ni kupeleka moto tu,bila kujali penalty za mchongo Wala Nini.

Uzuri wote wa Penalty za mchongo,pira litapaishwa hadi Biharamuro Songea,Majimaji FC wakautumie.
Kwahiyo zile assist alizotoa kweny mechi nne mfululizo hazikubadili game?

Aisee. Chuki mbaya.
 
Majibu yasio sahihi ndio yanayotakiwa kwenye hiyo picha

Yule mama yake na Boufar leo hakutokea?

Nilimuona dakika ya ngapi sijui alikuwa ameshika simu mbili mbili kama Masau bwire nikafikiria tu pale kashika ya kwake na ya mwanae
Mbappe Our King of Football
Mtaalam Mbappe🔥

Yule mama Na mwanae safari imekwiva
 
Penalties za kombe la dunia 2022 mbona huweki hapa we Mahaba niuwe wa Messi mbeleko [emoji848][emoji28]
Yani hata tuzijumlishe na tumpe messi Bonus ya penalty zingine 40...Bado hatamfikia Penaldo kwa penalty.

Yani kuja kutokea mchezaji wa kumfikia Pendaldo penalty ni labda mwaka 7800
 
*THE STAGE IS SET FOR A BLOCKBUSTER[emoji41]

[emoji2788]Vamooooooooooooooooos[emoji2973][emoji1033][emoji1478]*View attachment 2447128
Better watch your 6 bro
ff4fa7b14b454dc3aabcbe8c69ae64b2.jpg
 
Back
Top Bottom