Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huku akianzishwa benchi. [emoji16]
20221214_183355.jpg
😂😂
 
Ukiondoa hizo mbili zinabaki tano. Haya na hizo zilikuwa za wakina nani wakanyimwa?
Wako sawa na CR 7, ulisikia tuzo gani ya uchezeji bora wa dunia CR 7 alilalamikiwa kama Messi?

Mbeleko huwa ina ukomo, tuwe na akiba za maneno maana mpira huwa unadunda au huleta matokeo tokana na bahati tu
 
Wako sawa na CR 7, ulisikia tuzo gani ya uchezeji bora wa dunia CR 7 alilalamikiwa kama Messi?

Mbeleko huwa ina ukomo, tuwe na akiba za maneno maana mpira huwa unadunda au huleta matokeo tokana na bahati tu
Yani ukiziondoa hizo mbili ndo analingana sasa na GOAT wako? Hah
JamiiForums1956157650.jpg
 
Ni ngumu sana, nahisi mpaka mwaka 5700 hakuna mchezaji atakayemfikia Christina Penaldo kwa Penalty.

Wakisema leo tufute magoli ya penalty Messi anamzidi Benchaldo magoli. Pamoja na kuwa Penaldo amecheza mechi 300 kumzidi messi
Halafu eti bado mnamuita goal machine
Weka perfect hat trick ya Messi hapa ili naye aitwe goals machine la sivyo punguza mahaba niuwe ili uepukane na sonona isiyo na ulazima wowote ule [emoji2]
 
Ufaransa kazi yetu ni kuteketeza na kuharibu na kuvunja bebwabebwa FC, Penalty FC,Virikou FC

Viva France [emoji1073][emoji91]
Hakuna Penalty ya mchongo mpira wake usipae.
Penalt za mchongo zoote zitatua Tandahimba na si kwenye lango letu mabingwa wateule na watetezi.


Viva France[emoji91][emoji91][emoji91]

Ufaransa imecheza na dunia nzima ina furaha

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Penalty ya mchongoma ndiyo iliyobadili game
Mizee ya Penalt.

Bila ile penalty ya mchongo Croatia wasingetoka kwenye form,acha kujizima data.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ronaldo walidiriki kumuita Penaldo kwasababu ya penati alizokuwa anapewa

Leo hii imetokea kwa Messi inazungumziwa kwa namna tofauti na isivyotegemewa

"Messi ni GOAT, Kama penati ni rahisi muulize Kane, sasa kama amepewa penati ina maana akatae, mnachuki dhidi ya Messi"

Matukio kama hayo kwa Ronaldo anabebwa ila kwa Messi anaelezeka
 
Ronaldo walidiriki kumuita Penaldo kwasababu ya penati alizokuwa anapewa

Leo hii imetokea kwa Messi inazungumziwa kwa namna yofauti na isivyotegemewa

"Messi ni GOAT, Kama penati ni rahisi muulize Kane, sasa kama amepewa penati ina maana akatae, mnachuki dhidi ya Messi"

Matukio kama hayo kwa Ronaldo anabebwa ila kwa Messi anaelezeka
Hawa jamaa ni mabiiingwa wa kujizima data na kujitoa ufahamu
 
Labda mkutane na dusko za penati au mpulizie madawa kwenye room za wachezaji wa France

Hata leo kwenye kambi ya France waliripoti kuwa kuna homa ya koo imewakumba wachezaji wawili

Sikutaka kushare hapa kwasababu ingeonekana tunatafuta excuse ili tukifungwa tusingizie madawa
Mtanange wa jumapili utakuwa si wa kitoto, Argentina watapambana kufa na kupona kufuta makosa ya nyuma.
France nao mabingwa watetezi hawatotaka kupoteza hilo taji.

Utakuwa mpira wa nguvu sana, maana atakayewahi kufunga tu. Amewadhoofisha timu pinzani.
Miye na moyo mdogo, panapo uzima nitakuwa nachungulia tu sitatizama full. Sina huo moyo 😪
 
Mimi nipo Qatar nasubiria j2 nikiwashe pale nichukue taji langu...... Nyie mshafika Ureno? Au mnaenda wapi? Maana hata timu ya kwenda hamna ...na hakuna timu inataka wapasha benchi saivi[emoji23]
Baada ya bwana Ronaldo kutoka ilibidi watafute mbadala wa kupambana na Messi.
 
Yani hata tuzijumlishe na tumpe messi Bonus ya penalty zingine 40...Bado hatamfikia Penaldo kwa penalty.

Yani kuja kutokea mchezaji wa kumfikia Pendaldo penalty ni labda mwaka 7800
Zikwapi statistics za Messi mbeleko wenu wa penalties tuziambatanishe na penati za mchezaji yeyote tangu kuumbwa kwa kombe la dunia [emoji848]

CR 7 ni Jeshi la Mtu mmoja, ndiyomaana kuna kipindi Neymar, Suarez na Messi walikuwa wanamchangia kung'ang'ania tu kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora wa La Liga [emoji38]
 
Back
Top Bottom