Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina ama Messi kuna kitu gani special, mpaka wabebwe?
Sababu ni Messi

Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago

Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft

Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake

Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa
 
Uzuri mafanikio hayapitii kijijini kwenu ... wala chuki yenu haiamui chochote, ingekuwa hivyo basi Messi asingefika hata fainali.

Yani imagine mtu anaumia mwengine kukubalika. Aisee, watu wanatembea na mengi vifuani. [emoji16][emoji16]
Uzuri hatupangiani cha kupenda na hatuwezi kuwa na mitazamo sawa, mbali na hapo kama huna upeo huu basi endelea kukaza fuvu kwa hasara zako mwenyewe [emoji28]
 
Mbona hakuna all total matches played?

Akili zingine ni mzigo tu kwenye mafuvu ya Watu.

Messi anazidiwa zaidi ya miaka mitatu, utegemee walingane kutakwimu kwa penati na mechi walizocheza?

Labda uweke kipindi CR 7 akiwa na umri huo alikuwa na penati ngapi ukilinganisha na umri alionao Messi sasa hivi.
Yani wewe jamaa ni special case aisee. Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo.

Hapo ulichoomba wewe ni nini? Umeomba mambo ya miaka au umeomba idadi ya penati walizopewa hao mabwana?

The matter is, penaldo kapewa penati mzigo, hata Messi acheze milele hawezi zifikia.
 
Karma huwa inajipangia muda si wewe mahaba niuwe wa Messi uilazimishe kufanya kazi yake [emoji1787]
So Karma imeamua iwe 2022.

What a stupid karma. Imekaaa ikaona now ndo nije. Basi ikija isisahau kufuta na zile za nyuma ili Argentine isiwe na kombe hata moja..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Holaaa
20221214_232329.jpg
 
Sababu ni Messi

Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago

Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft

Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake

Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa
Nimei-screen shot kabisa hii sindano ili mahaba niuwe wa Messi wakijichanganya tu nawapa dozi kupitia hii hii sindano [emoji23]
 
Sababu ni Messi

Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago

Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft

Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake

Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa
Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
 
Yani wewe jamaa ni special case aisee. Unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo.

Hapo ulichoomba wewe ni nini? Umeomba mambo ya miaka au umeomba idadi ya penati walizopewa hao mabwana?

The matter is, penaldo kapewa penati mzigo, hata Messi acheze milele hawezi zifikia.
Mchezaji yupi aliwahi kupewa penati 4 zote kwenye kombe la dunia tangu dunia iumbwe, au unaendelea kudhihirisha upumbavu wako hapa sababu ya mahaba niuwe kwa huyo Andunje wako [emoji848][emoji57]
 
Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
Nikumbushe tukio hili Messi akipewa kadi nami nitakukumbusha siku ambayo Taifa Stars ilifika nusu fainali WC

1671057161825.png
 
Kwa maana nyingine unataka kusema, Messi yuko juu ya FIFA?
Aisee Messi ni konyo basi, kwahiyo kwa Football duniani, anaogopwa Messi, ndiyo King?
Watu wanaangalia masilahi tokana na wachezaji aina ya akina CR 7 na Messi wana mikataba na kampuni nyingi sana duniani, ili kampuni ziendelee kujitangaza na kushinda soko kubwa zaidi kibiasha lazima mbeleko ziwepo, lakini zikizidi sana ndiyo huharibu ladha ya mpira kama hivi.
 
Kwanini hawajampa mbeleko mwamba Cr 7 ili wakutane fainali? Habebeki?
 
Watu wanaangalia masilahi tokana na wachezaji aina ya akina CR 7 na Messi wana mikataba na kampuni nyingi sana duniani, ili kampuni ziendelee kujitangaza na kushinda soko kubwa zaidi kibiasha lazima mbeleko ziwepo, lakini zikizidi sana ndiyo huharibu ladha ya mpira kama hivi.
Naelewa but kwa WC hii? Argentina waliponea kwenye tundu la sindano kufungashwa virago.
Ingekuwa hivyo na Ureno, ingebebwa nayo wacheze ma GOAT Messi na Ronaldo.
 
Nyingine hii, aliishika mpira na hakuna yellow aliyoipata

View attachment 2447165
Hapa tunakesha na mazumbukuku wa Messi lakini hawatatuelewa kamwe sababu ya upumbavu wao tu wa mahaba niuwe hadi kukataa ukweli halisi.

I've actually believed that Messi is the programed creature by White people to give some gains the business owners profits and destroying the Goat Pele's football winning trophies and records
 
Back
Top Bottom