Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sababu ni MessiArgentina ama Messi kuna kitu gani special, mpaka wabebwe?
Messi aliingia kwenye mzozo na kutupiana maneno na mwamuzi lakini mwamuzi akafurumushwa virago
Penati dhidi ya Saud ilikuwa ni very soft
Hakukuwa na yellow card kwa kitendo cha Messi kuwa harrass wapinzani wake
Hakuna action yeyote Mesi na Martinez waliyopewa na Fifa pale walipokuwa wanaongea trash kuhusu marefa