February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Dah, Mmehama kwa Benchaldo saivi mpo kaa mbape..dah yani mnaruka ruka hadi hurumaMbappe Our King of Football
Mtaalam Mbappe🔥
Yule mama Na mwanae safari imekwiva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, Mmehama kwa Benchaldo saivi mpo kaa mbape..dah yani mnaruka ruka hadi hurumaMbappe Our King of Football
Mtaalam Mbappe🔥
Yule mama Na mwanae safari imekwiva
Huku akianzishwa benchi. [emoji16]
Penalty ya mchongoma ndiyo iliyobadili gameKwahiyo zile assist alizotoa kweny mechi nne mfululizo hazikubadili game?
Aisee. Chuki mbaya.
Wako sawa na CR 7, ulisikia tuzo gani ya uchezeji bora wa dunia CR 7 alilalamikiwa kama Messi?Ukiondoa hizo mbili zinabaki tano. Haya na hizo zilikuwa za wakina nani wakanyimwa?
Labda mkutane na dusko za penati au mpulizie madawa kwenye room za wachezaji wa FranceThis is 2022...
Kwahiyo kwenye mechi zote ambazo ametoa assist ilianza penati kwanza za kuwavuruga wapinzani au sio? [emoji2]Penalty ya mchongoma ndiyo iliyobadili game
Mizee ya Penalt.
Bila ile penalty ya mchongo Croatia wasingetoka kwenye form,acha kujizima data.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yani ukiziondoa hizo mbili ndo analingana sasa na GOAT wako? HahWako sawa na CR 7, ulisikia tuzo gani ya uchezeji bora wa dunia CR 7 alilalamikiwa kama Messi?
Mbeleko huwa ina ukomo, tuwe na akiba za maneno maana mpira huwa unadunda au huleta matokeo tokana na bahati tu
Weka perfect hat trick ya Messi hapa ili naye aitwe goals machine la sivyo punguza mahaba niuwe ili uepukane na sonona isiyo na ulazima wowote ule [emoji2]Ni ngumu sana, nahisi mpaka mwaka 5700 hakuna mchezaji atakayemfikia Christina Penaldo kwa Penalty.
Wakisema leo tufute magoli ya penalty Messi anamzidi Benchaldo magoli. Pamoja na kuwa Penaldo amecheza mechi 300 kumzidi messi
Halafu eti bado mnamuita goal machine
Ni wale wale.Ni ngumu sana, nahisi mpaka mwaka 5700 hakuna mchezaji atakayemfikia Christina Penaldo kwa Penalty.
Wakisema leo tufute magoli ya penalty Messi anamzidi Benchaldo magoli. Pamoja na kuwa Penaldo amecheza mechi 300 kumzidi messi
Halafu eti bado mnamuita goal machine
Ronaldo walidiriki kumuita Penaldo kwasababu ya penati alizokuwa anapewaPenalty ya mchongoma ndiyo iliyobadili game
Mizee ya Penalt.
Bila ile penalty ya mchongo Croatia wasingetoka kwenye form,acha kujizima data.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kama ni mfano ni tofauti na uhalisia [emoji1732][emoji1]Wakati huo Argentina na Messi wamesimama tu, wakiwaangalia ama watakuwa nao wanacheza?
Messi ni kama ana miguu 4
Unaruka wewe au sisi Mkeshimiwa?Dah, Mmehama kwa Benchaldo saivi mpo kaa mbape..dah yani mnaruka ruka hadi huruma
Hawa jamaa ni mabiiingwa wa kujizima data na kujitoa ufahamuRonaldo walidiriki kumuita Penaldo kwasababu ya penati alizokuwa anapewa
Leo hii imetokea kwa Messi inazungumziwa kwa namna yofauti na isivyotegemewa
"Messi ni GOAT, Kama penati ni rahisi muulize Kane, sasa kama amepewa penati ina maana akatae, mnachuki dhidi ya Messi"
Matukio kama hayo kwa Ronaldo anabebwa ila kwa Messi anaelezeka
Mtanange wa jumapili utakuwa si wa kitoto, Argentina watapambana kufa na kupona kufuta makosa ya nyuma.Labda mkutane na dusko za penati au mpulizie madawa kwenye room za wachezaji wa France
Hata leo kwenye kambi ya France waliripoti kuwa kuna homa ya koo imewakumba wachezaji wawili
Sikutaka kushare hapa kwasababu ingeonekana tunatafuta excuse ili tukifungwa tusingizie madawa
Mimi nipo Qatar nasubiria j2 nikiwashe pale nichukue taji langu...... Nyie mshafika Ureno? Au mnaenda wapi? Maana hata timu ya kwenda hamna ...na hakuna timu inataka wapasha benchi saivi😂Unaruka wewe au sisi Mkeshimiwa?
Unateseka ukiwa wapi?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hiyu jamaa nilikuwa namuelewa sana kwa ishu ya nidhamu
Baada ya bwana Ronaldo kutoka ilibidi watafute mbadala wa kupambana na Messi.Mimi nipo Qatar nasubiria j2 nikiwashe pale nichukue taji langu...... Nyie mshafika Ureno? Au mnaenda wapi? Maana hata timu ya kwenda hamna ...na hakuna timu inataka wapasha benchi saivi[emoji23]
Zikwapi statistics za Messi mbeleko wenu wa penalties tuziambatanishe na penati za mchezaji yeyote tangu kuumbwa kwa kombe la dunia [emoji848]Yani hata tuzijumlishe na tumpe messi Bonus ya penalty zingine 40...Bado hatamfikia Penaldo kwa penalty.
Yani kuja kutokea mchezaji wa kumfikia Pendaldo penalty ni labda mwaka 7800