Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Maneno ya kike uanze mwenyewe kwa kuniita kidume jina la kipumbavu, ukijibiwa unajaa povu [emoji848]Hamjui mpira, mnajua kuchamba tu.
Majibu yasio sahihi ndio yanayotakiwa kwenye hiyo pichaMbappe the game Changer [emoji91]View attachment 2447138
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni ngumu sana, nahisi mpaka mwaka 5700 hakuna mchezaji atakayemfikia Christina Penaldo kwa Penalty.Dah
Pamoja na kale kafupi nyundo kupewa penalty za bure kama peremende ila bado wapi!
Hakajatoboa[emoji16]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tayari tushajua sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 ilimradi tu afikie rekodi za Mfalme wa soka duniani PELE.Kijana Ounahi ni moto...Moja ya Talent Moja matata sana,soufian Amrabat KAZI kubwa ufundi mwingi kwenye dimba la Kati France walipoteana sana,ulikuwa vema angecheza Adrien Rabiot na Tchouamen,Morocco wameonyesha kitu kikubwa katika soka la Dunia....Mbape ni Balaa lingine akifunguka hakuna wa kumlaumu.....kilichowaua Morocco ni umaliziaji pale mbele.
Yote KWA yote fainali itakuwa tamu vita ya Messi na Mbape nani ataibuka kidedea.
Kale kababu bila penalty hakabadili game yoyoteHayo yalishapita... subirini Jumapili Messi atawanyoosha mtapotea humu jamvini kwa aibu.
Scars and 100 others Saint Anne Tate Mkuu Interlacustrine E Dream Queen
Taratibu wasisikieMbape ni moto sana na wewe umemuona huyu Ounahi jezi namba 8 alivyotawala duara?
Wakati huo Argentina na Messi wamesimama tu, wakiwaangalia ama watakuwa nao wanacheza?Mkituomba tunaweza kuwafikiria kiutu uzima, ila mkijitia jeuri mtakutana na kipigo kile kile cha 2018
Game zote nimetizama. Kuhusu hili sitaki kubishana sana .Tusubiri siku ya final utakuja elewa ninacho zungumza.Yani umeitazama mechi ya Morocco ukaconclude kuwa wapo kwenye ubora wa peke yao? Umeitazama game kaka?
Nani kakuita kidume jina, umechanganyikiwa nini?Maneno ya kike uanze mwenyewe kwa kuniita kidume jina la kipumbavu, ukijibiwa unajaa povu [emoji848]
Funga bakuli siyo kujibu jibu Baba zako hapa JF kipumbavu we toto la miaka ya 80 hala [emoji57]
Kwahiyo zile assist alizotoa kweny mechi nne mfululizo hazikubadili game?Kale kababu bila penalty hakabadili game yoyote
Sisi Ufaransa ni kupeleka moto tu,bila kujali penalty za mchongo Wala Nini.
Uzuri wote wa Penalty za mchongo,pira litapaishwa hadi Biharamuro Songea,Majimaji FC wakautumie.
Penalties za kombe la dunia 2022 mbona huweki hapa we Mahaba niuwe wa Messi mbeleko [emoji848][emoji28]Na goli lenyewe ni la penalty[emoji23]View attachment 2447134
Waache wajifurahishe.Wakati huo Argentina na Messi wamesimama tu, wakiwaangalia ama watakuwa nao wanacheza?
Messi ni kama ana miguu 4
Mbappe Our King of FootballMajibu yasio sahihi ndio yanayotakiwa kwenye hiyo picha
Yule mama yake na Boufar leo hakutokea?
Nilimuona dakika ya ngapi sijui alikuwa ameshika simu mbili mbili kama Masau bwire nikafikiria tu pale kashika ya kwake na ya mwanae
Kwani 2018 tulivyopiga bao 4, tulicheza na bismini yule wa posta?Wakati huo Argentina na Messi wamesimama tu, wakiwaangalia ama watakuwa nao wanacheza?
Messi ni kama ana miguu 4
Huku akianzishwa benchi. [emoji16]Na goli lenyewe ni la penalty[emoji23]View attachment 2447134
This is 2022...Kwani 2018 tulivyopiga bao 4, tulicheza na bismini yule wa posta?
Mpaka wacheze playoff kwanza ndio warudi homeMbappe Our King of Football
Mtaalam Mbappe🔥
Yule mama Na mwanae safari imekwiva
Yani hata tuzijumlishe na tumpe messi Bonus ya penalty zingine 40...Bado hatamfikia Penaldo kwa penalty.Penalties za kombe la dunia 2022 mbona huweki hapa we Mahaba niuwe wa Messi mbeleko [emoji848][emoji28]
Better watch your 6 bro*THE STAGE IS SET FOR A BLOCKBUSTER[emoji41]
[emoji2788]Vamooooooooooooooooos[emoji2973][emoji1033][emoji1478]*View attachment 2447128