Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna comments nyingine unaweza soma unabaki kujiuliza huyu mtu anaandika kwa sababu tu ana smartphone au itakua channel hazishiki.

Tunakubali Messi ni mkali lakini hebu rudia kusoma huo utumbo uuelewe kwanza kabla hujanitukana. Asante
Dah pole sana kwa kukuudhi mkuu...ila vumilia tu umeze hata vidonge
Maana Facts dont care about your feelings
 
Goalkeeper akitoka ndio tatizo. Huyo jamaa kama angekuwa na madhara kwenye huo mpira ingerudiwa. Kwa hapo hakuwa na madhara yoyote.
Sio kweli
Screenshot_20221215-084339.png
 
Mim nilizan uzungumzia uhuni wa 98 walikoua wanaufanya kina dider deschamps we unazungumzia 2006 kojoa ukalale kumbe nabishana na kijana mdogo sana
Sasa kama historia unayo na haya matukio hua yapo unawalaumu nini Argentina? Wazee wa vijiweni mna double standards sana
c3812c31ecf4499f98cd6bebfeae2c80.jpg
 
Jidanganye, timu inawakilisha ulaya.. wabantu hawana chao

Vamos Argentina 🇦🇷 tunawasubiri kuwafundisha mpira unavyopigwa..
Kwani wewe ujidanganyi mkuu? Hao mabaguzi unayashabikia anduje apati chochote hata abebwe vipi
 
Messi na Argentina yake wanawekwa kimoja tu cha mkwezi na watatulia. Ufaransa nadhani itakuwa timu ya kwanza kuchukua WC back to back!
 
Maajentina ya buza na Tandika kwa mpalange mujiandae kisaikolojia. Kama tulivyompasua ajentina kombe la dunia lilopita basi na hili anapasuka sisi hatunaga cha dakika 120
 
Hilo hata mimi nimelieleza sehemu na hii ilishaonekana kuwa anaandaliwa kwa ajili ya kuja kufuta ufalme wa Pele maana hakuna mfalme wa Soka bila kushinda World Cup vijamaa vikaanza niita timu CR7.
Wapumbavu wa mpira mpo wengi sana Team zenu zimetolewa kwa ubovu msijifichw kwenye kichaka cha Messi sijui kubebwa sijui kuandaliwa! Brazil kacheza na Croatia,wameenda penalty wametolewa je ni Messi alikuwa anaandaliwa? Team bora kam Belgium na Spain zimeshindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa? portugal kashindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa?.Tafuteni hoja za msingi mpira ni mchezo wa hadharani ,hauchezwi chumbani!.
 
Refa wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
Mbona umeanza kulia wakati msiba bado??
Yani mgonjwa ndo kwanza anapelekwa theatre wewe ushaweka turubai la msiba? Tulia andaa na msoma dua kabisa maana msiba wa France upo tuu
 
Hapa ni vita kati ya watu weusi na hao takataka wa amerika kusini

Kwani wewe ujidanganyi mkuu? Hao mabaguzi unayashabikia anduje apati chochote hata abebwe vipi

Kumbe kamanda wangu bado tu unamchukia huyu kiumbe kuwahi kutokea? Hahaa

Argentina is my favourite team.. Messi and Diego ndio wachezaji wangu bora kuwahi kutokea.. ubaguzi kila mahala kamanda, hata timu lako unaloshabikia si ajabu wengi wao mabaguzi, linchi lako pia limejawa na mabaguzi

God bless Argentina 🇦🇷
 
Back
Top Bottom