Sio Arsenal ?Nilichogungua watu wengi wanaomchukia sana Messi ni mashabiki wa Man United maana kila walipokuwa wanakutana kwenye champion league na Barcelona, Messi alikuwa anawakata stimu vibaya sana
Dah pole sana kwa kukuudhi mkuu...ila vumilia tu umeze hata vidongeKuna comments nyingine unaweza soma unabaki kujiuliza huyu mtu anaandika kwa sababu tu ana smartphone au itakua channel hazishiki.
Tunakubali Messi ni mkali lakini hebu rudia kusoma huo utumbo uuelewe kwanza kabla hujanitukana. Asante
Sio kweliGoalkeeper akitoka ndio tatizo. Huyo jamaa kama angekuwa na madhara kwenye huo mpira ingerudiwa. Kwa hapo hakuwa na madhara yoyote.
Kwani nimeandika uongo?Wewe jamaa unateseka sana.😂
Vamos Argentina.🇦🇷
Messi unstoppable.🔥
France ndio Waafrika!
Sasa kama historia unayo na haya matukio hua yapo unawalaumu nini Argentina? Wazee wa vijiweni mna double standards sanaMim nilizan uzungumzia uhuni wa 98 walikoua wanaufanya kina dider deschamps we unazungumzia 2006 kojoa ukalale kumbe nabishana na kijana mdogo sana
Kwani wewe ujidanganyi mkuu? Hao mabaguzi unayashabikia anduje apati chochote hata abebwe vipiJidanganye, timu inawakilisha ulaya.. wabantu hawana chao
Vamos Argentina 🇦🇷 tunawasubiri kuwafundisha mpira unavyopigwa..
Anduje kumbe ana ufirauni wa kutosha 😳😳😳Sasa kama historia unayo na haya matukio hua yapo unawalaumu nini Argentina? Wazee wa vijiweni mna double standards sanaView attachment 2447277
Brazil ameshachukua ivyo nadhani back to backMessi na Argentina yake wanawekwa kimoja tu cha mkwezi na watatulia. Ufaransa nadhani itakuwa timu ya kwanza kuchukua WC back to back!
Oh sawa mkuu, basi kwa karne hii atakuwa wa kwanza.Brazil ameshachukua ivyo nadhani back to back
Subirini kichapo tu hapo J’pili...Jidanganye, timu inawakilisha ulaya.. wabantu hawana chao
Vamos Argentina 🇦🇷 tunawasubiri kuwafundisha mpira unavyopigwa..
Yanga kwa sasa tuna uhitaji wa mshambuliaji wa kati wa kusaidiana na Fiston Mayele, pamoja na beki mmoja tu mahiri wa kati.Hivi Azam Federation inaendelea tarehe ngapi?
Ally Kamwe katwiti eti Miquison anaenda yanga, yakweli hayo Tate Mkuu
View attachment 2447121
Wapumbavu wa mpira mpo wengi sana Team zenu zimetolewa kwa ubovu msijifichw kwenye kichaka cha Messi sijui kubebwa sijui kuandaliwa! Brazil kacheza na Croatia,wameenda penalty wametolewa je ni Messi alikuwa anaandaliwa? Team bora kam Belgium na Spain zimeshindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa? portugal kashindwa kutoboa kwa Morocco je ni Messi alikuwa anaandaliwa?.Tafuteni hoja za msingi mpira ni mchezo wa hadharani ,hauchezwi chumbani!.Hilo hata mimi nimelieleza sehemu na hii ilishaonekana kuwa anaandaliwa kwa ajili ya kuja kufuta ufalme wa Pele maana hakuna mfalme wa Soka bila kushinda World Cup vijamaa vikaanza niita timu CR7.
Mbona umeanza kulia wakati msiba bado??Refa wa leo kaacha kuendekeza faulo za kijinga, natamani achezeshe yeye fainali lakini nina wasiwasi na sera za FIFA ilishamuandaa mchezaji bora wao wa mchongo na Bingwa wa kombe la dunia 2022 "Messi Argentina" [emoji87]
Hapa ni vita kati ya watu weusi na hao takataka wa amerika kusini
Kwani wewe ujidanganyi mkuu? Hao mabaguzi unayashabikia anduje apati chochote hata abebwe vipi