Messi simkubali lakini kwa Saudia sina imani nayoTeam Saudia tupo hapa....hamna cha Messi wala nani
Si tuliwahi kusema humu kuwa waafrica walioenda huko uarabuni wote walihasiwa?Hichi kikosi cha Saudia asilimia kubwa ni black tena wale wenye asili ya Afrika kabisa. Ndio tuseme waliomba uraia huko?
Kuna watu waliweka App humulink jamani tuibieibie tuko makazini
Messi simkubali lakini kwa Saudia sina imani nayo
Tupo tutaohabarisha jamaniHii mechi kwa wadau wa soka wa hapa bongo itakosa watazamaji wengi kutokana na muda sio rafiki
Mambo ya VARGoli la ofa
Kumbe tupo wengi, watu wa Denmark!Timu la dunia Denmark leo tunaianza safari yetu ya kuelekea nchi ya ahadi.