Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Sio kuchukia ni competition...Hamna mchezaji wa level za Ronaldo anaweza kuchukia mafanikio ya mwenzie kisa atamzidi rekodi. Leta chanzo cha habari kilicho mripoti anaongea hivo. Hizo mentality wanazo kina Mrisho Ngasa na kina Shabalala wa Simba
Kasome kitu kinaitwa father of fallacy all fallacy