Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Sio kuchukia ni competition...Hamna mchezaji wa level za Ronaldo anaweza kuchukia mafanikio ya mwenzie kisa atamzidi rekodi. Leta chanzo cha habari kilicho mripoti anaongea hivo. Hizo mentality wanazo kina Mrisho Ngasa na kina Shabalala wa Simba
Dogo anajua huyoHuyu jamaa licha ya kwamba alikuwa kwenye timu pinzani ila nilimkubali sana
Messi Ata achukue kombe la Dunia hawezi kuwa GOAT never and ever anarekodi nying sana ajavunja atakuje GOATMpaka hapo ni pele
Messi hana word cup
Messi wa pili 2
Gaucho na ronaldo 3
Maradona na goli lake la mkono 4
Masalia ....5,6,7
Record gani hajavunja tofauti na hiyoMessi Ata achukue kombe la Dunia hawezi kuwa GOAT never and ever anarekodi nying sana ajavunja atakuje GOAT
Acheni masihara, benzema aingie hapo kwasababu zipi? Zidane, di Stefano, Platini na Beckeunbauer wapo wapi?Yupi ni bora wa muda wote?
Uwa unaangalia mpira kweli au ndio unataka tubishane tu na Anza nani top score wa kombe la Dunia wakati wote ukijibu Hilo njoo ujibu nani top score wa champions league had Sasa nani top score mwenyewe magoli mengi Kwa timu za taifa ukijibu Hilo nakuliza tena nani mfungaji wenyewe Goli nyingi kweny champions league at one season ukimaliza kujibu sema nikuletee mengineRecord gani hajavunja tofauti na hiyo
Kwako wewe goat ni yupi kati ya hao?..tuanzie hapo kwanzaUwa unaangalia mpira kweli au ndio unataka tubishane tu na Anza nani top score wa kombe la Dunia wakati wote ukijibu Hilo njoo ujibu nani top score wa champions league had Sasa nani top score mwenyewe magoli mengi Kwa timu za taifa ukijibu Hilo nakuliza tena nani mfungaji wenyewe Goli nyingi kweny champions league at one season ukimaliza kujibu sema nikuletee mengine
Kwa upande wako nani unamuona hapo kwenye listUwa unaangalia mpira kweli au ndio unataka tubishane tu na Anza nani top score wa kombe la Dunia wakati wote ukijibu Hilo njoo ujibu nani top score wa champions league had Sasa nani top score mwenyewe magoli mengi Kwa timu za taifa ukijibu Hilo nakuliza tena nani mfungaji wenyewe Goli nyingi kweny champions league at one season ukimaliza kujibu sema nikuletee mengine