Kwanini wameamua kuweka utambulisho wa jezi za nchi nyingine zilizotoka?Jezi ya Ufaransa kuelekea mchezo wa FainalView attachment 2449031
TrollJezi ya Ufaransa kuelekea mchezo wa FainalView attachment 2449031
Hiyo ilikuwa ni sherehe ya kwaresima si umeona hata maandishi yanakupingaHii picha imepigwa jumapili jioniView attachment 2449035
Ukifatilia kwa makini hizo zote ni jezi zinazotengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani ya NikeKwanini wameamua kuweka utambulisho wa jezi za nchi nyingine zilizotoka?
kwaresima?? 🤣🤣Hiyo ilikuwa ni sherehe ya kwaresima si umeona hata maandishi yanakupinga
Hakuna uhalisia hapo, huo ni mzaha wa wadau mitandaoniUkifatilia kwa makini hizo zote ni jezi zinazotengenezwa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani ya Nike
HujaelewaHakuna uhalisia hapo, huo ni mzaha wa wadau mitandaoni
InawezekanaHujaelewa
Ata kuedit tu wameshindwa picha za kombe la Copa America mijezi ya Copa America mmeshindwa Ata kuedit picha za Kombe la Dunia 2014 au kisa lile picha nyingi alikua anatoa michozi co mmeona aibu argemfyko jumapili kipigo kipo pale paleangalia hapo kwenye duara lekundu
View attachment 2449036
Kojoa ukalale FIFA tayari wamesafirisha kombe hadi Paris hii ni kutoka na kuwa na uwakika France atabeba kombe HiloVamoooss Vamoooss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunatest mitambo ndugu zangu wa vamoooss
Waache wafurahie kombe la kwaresimaAta kuedit tu wameshindwa picha za kombe la Copa America mijezi ya Copa America mmeshindwa Ata kuedit picha za Kombe la Dunia 2014 au kisa lile picha nyingi alikua anatoa michozi co mmeona aibu argemfyko jumapili kipigo kipo pale pale
Jezi ya Ufaransa kuelekea mchezo wa FainalView attachment 2449031
Ricardo kaka pirlo etcAcheni masihara, benzema aingie hapo kwasababu zipi? Zidane, di Stefano, Platini na Beckeunbauer wapo wapi?
Pale nyuma huyu ndie aliwabeba FranceKwangu mimi huyu ni bonge ya Defender
Konate