BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Sasa mbona Maximo alitaka kutuzuga eti atatupa world cup na kipa wake wa taifa stars aliekuwa anavaa jezi ya newcastle tena kwenye mechi officialTimu zote zilizotwaa ubingwa wa kombe la dunia zilikuwa na makocha wazawa.
Anamaanisha France wanaenda kuchukua back to back kupitia kocha wao mzawa Didier DeschampsKwa hiyo mkuu unamanisha?
Duh,bt kamoyo kananambia inaweza kua surprise hawatak kusemaInawezekana
Niliskia mahojiano ya kocha wa ufaransa alipoulizwa kuhusu Benzema kucheza fainali akalipotezea swali akisema "next question"
Lakini wakaja kumuuliza tena akasema Benzema hayupo katika mipango yake na Benzema aliposikia kauli ya Didier alimaindi
Lolote linaweza likatokeaDuh,bt kamoyo kananambia inaweza kua surprise hawatak kusema
Alitupa sasa?Sasa mbona Maximo alitaka kutuzuga eti atatupa world cup na kipa wake wa taifa stars aliekuwa anavaa jezi ya newcastle tena kwenye mechi official
Hata mshindi wa keshokutwa kocha atakuwa mzawa. Deschamps ni mfaransa na Scaloni ni MuargentinaKwa hiyo mkuu unamanisha?
Pigia mstariiiAnamaanisha France wanaenda kuchukua back to back kupitia kocha wao mzawa Didier Deschamps
Bado tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inakujaMOTM awards for Messi
Huko kote sina noma naye ila kuhusu kombe sina ushkaji yani akae mbali nalo kabisaBado tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inakuja
Akilibeba utalala usingizi wa tabu mno..Huko kote sina noma naye ila kuhusu kombe sina ushkaji yani akae mbali nalo kabisa
Akibeba itakuwa ni bahati tu kama ambavyo amekuwa akizipata kwenye mechi zilizopita mpaka akafika hapaAkilibeba utalala usingizi wa tabu mno..
pakiti yaa......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukishinda ntanunua pakiti ya Grand Malt
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sema kamanda bado nawiwa sana kuipa support Furance ..unajua ukilicheki Chama langu Colombia na Furance mupira wao ni wakibabe babe sana. Mupira wao ni mtu kazi yani hamuna kuremba remba so naona kabaisa kuiweka Ajentina mbele ni kama nalisaliti chama langu Colombia π₯΄π₯΄π₯΄Tushabikie Argentina kamanda, chama kubwa
Aise chaliiyangu unajua mupira ukishabikiwa na mamsi mkali kaa wewe inaleta andasi kinoma unaeza jikuta unashangilia goli ata kaa alijafungwa. Semaa unafeli sehemu moko tu ..kuishabikia Livakuku.π€£π€£π€£π€£πUzi wa selfie upo,kuna mapicha kama yote
Usinitoe kwenye reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi lugha mmenifundisha wenyewe majukwaani huko kwenye threads za mipira na chalii yangu OllaChuga Oc
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Miss Liverpool salama... Fainali naona unasimama na Ufaransa.... Mwenzio nipo upande wa pili nasimama na GOAT wa ukweee kapteni namba 10.Captain Marvelous I'm missing you Bobby.
Come on,tuenjoy fainali hapa pamoja.
[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ouwdaaa ivi unapatikana apii wee mudada?!πππOi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi
2 days remaining to the big day
Pale meza itakapo pinduliwa na historia kuandikwa.....
Messi na π¦π· wakitwaa kombe mbele ya macho ya watu
Haters gonna be belivers
Wait and watch them win
Niko huku chitoholi mtwara mkuu nakula ming'okoOuwdaaa ivi unapatikana apii wee mudada?!πππ
Huyo jamaa tangu afukuzwe kambini Afrika kusini amebakia na gundu kwenye timu ya taifa. Sitegemei Deschamps ampange huyu mechi ya mwisho wakati hajacheza hata moja.Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.
Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.
View attachment 2449109
Bobby jamani,ungana na mimi jamani tumshabikie yule dogo Mbappe.Miss Liverpool salama... Fainali naona unasimama na Ufaransa.... Mwenzio nipo upande wa pili nasimama na GOAT wa ukweee kapteni namba 10.
YNWA
Liverpool chama kubwa weweeπAise chaliiyangu unajua mupira ukishabikiwa na mamsi mkali kaa wewe inaleta andasi kinoma unaeza jikuta unashangilia goli ata kaa alijafungwa. Semaa unafeli sehemu moko tu ..kuishabikia Livakuku.π€£π€£π€£π€£π