Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Inawezekana

Niliskia mahojiano ya kocha wa ufaransa alipoulizwa kuhusu Benzema kucheza fainali akalipotezea swali akisema "next question"

Lakini wakaja kumuuliza tena akasema Benzema hayupo katika mipango yake na Benzema aliposikia kauli ya Didier alimaindi
Duh,bt kamoyo kananambia inaweza kua surprise hawatak kusema
 
MOTM awards for Messi
319840789_2330540750443006_697259809500132949_n.jpg
Bado tuzo ya mchezaji bora wa mashindano inakuja
 
Tushabikie Argentina kamanda, chama kubwa
Sema kamanda bado nawiwa sana kuipa support Furance ..unajua ukilicheki Chama langu Colombia na Furance mupira wao ni wakibabe babe sana. Mupira wao ni mtu kazi yani hamuna kuremba remba so naona kabaisa kuiweka Ajentina mbele ni kama nalisaliti chama langu Colombia 🥴🥴🥴
 
Uzi wa selfie upo,kuna mapicha kama yote
Usinitoe kwenye reli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Hizi lugha mmenifundisha wenyewe majukwaani huko kwenye threads za mipira na chalii yangu OllaChuga Oc

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Aise chaliiyangu unajua mupira ukishabikiwa na mamsi mkali kaa wewe inaleta andasi kinoma unaeza jikuta unashangilia goli ata kaa alijafungwa. Semaa unafeli sehemu moko tu ..kuishabikia Livakuku.🤣🤣🤣🤣😀
 
Captain Marvelous I'm missing you Bobby.
Come on,tuenjoy fainali hapa pamoja.


[emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji1073][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Miss Liverpool salama... Fainali naona unasimama na Ufaransa.... Mwenzio nipo upande wa pili nasimama na GOAT wa ukweee kapteni namba 10.

YNWA
 
Oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi
2 days remaining to the big day
Pale meza itakapo pinduliwa na historia kuandikwa.....
Messi na 🇦🇷 wakitwaa kombe mbele ya macho ya watu
Haters gonna be belivers
Wait and watch them win
Ouwdaaa ivi unapatikana apii wee mudada?!💛🙃🙃
 
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema anaenda Quatar kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mchezo wa fainali dhidi ya Argentina.

Benzema alipata majeraha wiki chache zilizopita kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ila mpaka sasa yuko fit kwa ajili ya kucheza fainali.

View attachment 2449109
Huyo jamaa tangu afukuzwe kambini Afrika kusini amebakia na gundu kwenye timu ya taifa. Sitegemei Deschamps ampange huyu mechi ya mwisho wakati hajacheza hata moja.
 
Aise chaliiyangu unajua mupira ukishabikiwa na mamsi mkali kaa wewe inaleta andasi kinoma unaeza jikuta unashangilia goli ata kaa alijafungwa. Semaa unafeli sehemu moko tu ..kuishabikia Livakuku.🤣🤣🤣🤣😀
Liverpool chama kubwa wewee😃
Tunamchukua yule dogo Bellingham
Subiri uone moto wake🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom