Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Bia 😁pakiti yaa......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bia 😁pakiti yaa......
Ziendeleeje tena zaidi ya hapa 😀😀🤣Acha chuki, na ndio maana nchi za kiafrika haziendelei
Lakini huyu mzee amekukosesha amani week hiii. Sio kwa maushindi yaleeeeUnataka mpaka tufikie huku?
![]()
Hapo kachimba mkwara, au anamaana Messi aichezee Brazil na sio ArgentinaMi nakuomba source ya ulichotuwekea hapa unaniambia nikasome father of all fallacy! Humo ntaikuta habari ya Ronaldo kutotaka Messi abebe kombe la dunia?View attachment 2449101
Anamkubali Messi ila haikubali Argentina maana Wabrazil na WaArgentina kwenye soka ni zaidi ya makolo na YangaHapo kachimba mkwara, au anamaana Messi aichezee Brazil na sio Argentina
Bebs ushindi uko na Argentina 🇦🇷😍💙💙💙💙Kesho si ndiyo Jumapili?
Team Messi...
Team Argentina tuombe sana Mungu, Messi astaafu WC na kombe.
Argentina babies 🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇦🇷
Sio kwaresima ni Finalissimaangalia hapo kwenye duara lekundu
View attachment 2449036
French football club
Ya kwanza itabamba zaidiStory ipi itabamba sana baada ya fainalView attachment 2449709
Nini siri ya watu wa Ufaransa kuwa black kama Africa??[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799
Wengi hawana asili ya pale,,,, nchi iliyokubali kuwapokea weusi na kuwafanya sehemu ya mkakati kwenye baadhi ya maeneo,,,,, wakongo + Algeria, Togo, Ganon etc wamejaa ,,, sema rais mweusi sahauNini siri ya watu wa Ufaransa kuwa black kama Africa??