Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Unataka mpaka tufikie huku?
319828146_1283525435556712_7720031603058183997_n.jpg
Lakini huyu mzee amekukosesha amani week hiii. Sio kwa maushindi yaleeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumanisha nn???[emoji848][emoji848][emoji848] afu insta story yake imejaa picha zake za ballon dior,anyways tutawin tu even without him. Sielew hvo vijembe anampiga nan mxieww
Screenshot_20221217-134437_Instagram%20Lite.jpg
 
[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

Dahhhhhhh
FB_IMG_1671274746698.jpg
 
[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

DahhhhhhhView attachment 2449799
Nini siri ya watu wa Ufaransa kuwa black kama Africa??
 
Back
Top Bottom