blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Mchawi ni dakika 90+[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799
Kwaio Argentina mpira umewashinda wameanza uchawi..[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799
Inatokea kama mzaz mmoja au wote wana asili ya Africa.Nini siri ya watu wa Ufaransa kuwa black kama Africa??
Kwel wacha tuone
Argentina washindwe tu wenyewe Sasa...[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799
Mind games[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]
DahhhhhhhView attachment 2449799
I agree with uMind games
Pamoja na hizi figisu zao, hiki kikombe tutakichukua tu ndani ya dk 90BOTH of France's starting centre backs are struck down by the virus spreading through their squad, two days before the World Cup final, with Raphael Varane and Ibrahima Konate now sick and AIR CONDITIONING in Qatar being blamed
Takbir
HawatoaminiArgentina washindwe tu wenyewe Sasa...
Hamna nyingi zimeishia roboTuanzie hapa kwanza,,,,
Hivi kuna timu yeyote Africa iliyowahi shika nafasi ya tatu?!
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Picha?Mzee Mkangala wa Bunda amefunga sinema mlimani anaonyesha wc na taarifa ya habari ya Tbc. Anasema unaweza kuona hii tv hata ukiwa umbali wa 2 km away. Anaonyesha mechi bure