Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

DahhhhhhhView attachment 2449799
Mchawi ni dakika 90+

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
K
[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

DahhhhhhhView attachment 2449799
Kwaio Argentina mpira umewashinda wameanza uchawi..
 
Oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi oi
1 day remaining to the big day
Pale meza itakapo pinduliwa na historia kuandikwa.....
Messi na 🇦🇷 wakitwaa kombe mbele ya macho ya watu
Haters gonna be belivers
Wait and watch them win
 
Messi
IMG_8063.jpg
 
[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

DahhhhhhhView attachment 2449799
Argentina washindwe tu wenyewe Sasa...
 
[emoji871] Kingsley Coman (mafua), Raphael Varane (homa), Ibrahima Konate (homa), Aurelien Tchouameni (nyonga) na Theo Hernandez (goti) wote hawakuwepo kwenye mazoezi ya Ufaransa jioni ya leo kuelekea fainali ya Kombe la Dunia la dhidi ya Argentina Jumapili.[emoji599]

DahhhhhhhView attachment 2449799
Mind games
 
Nikimuona Messi jinsi alivyo na machungu na hili Kombe nina wasiwasi sana Argentina kuchukua ubingwa..
 
BOTH of France's starting centre backs are struck down by the virus spreading through their squad, two days before the World Cup final, with Raphael Varane and Ibrahima Konate now sick and AIR CONDITIONING in Qatar being blamed

Takbir
Pamoja na hizi figisu zao, hiki kikombe tutakichukua tu ndani ya dk 90

Vamoooss vamoooss [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom