raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hio michuma ya nini hapo au mafundi wamesahau wakati wanakarabati uwanja π maana hawashindwiupande wa pili wa shilingi...dunia ya tatuView attachment 2450141
Oooh hapo sawa,hakuna anaetufikia btw we have 5 stars[emoji1054][emoji1054][emoji1054]Brazil alitwaa ubingwa mwaka 1958 michuano iliyofata mwaka 1962 akaenda kutetea ubingwa na kushinda tena. Tokea hapo hakuna tena bingwa aliyeweza kutetea ubingwa wake
Weka clip plz[emoji7][emoji108][emoji91]
[emoji1073][emoji119]View attachment 2450151
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uwanja jana ulikuwa na ibada ya MwamposaHio michuma ya nini hapo au mafundi wamesahau wakati wanakarabati uwanja π maana hawashindwi
Hii habari itakuwa imepokelewa kwa shangwe sana na yule dwarfUzuri dogo ni fundi sana.
Wenzie wachangamke tu
Nimepata huzuni Konate anaumwa.
Kale kashoti angekaficha kwapani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shule ulienda kusomea ujinga?Punguza utani kwenye vitu serious.
Ninasikia hata Ghana wanatoa hela ili uitwe timu ya Taifa.Cameroun pia hata safari hii kunaYeah hicho ndicho nilichomaanisha, kwamba cameroon walimkataa kwa kumpa masharti bila kuangalia ubora, wakati france walimchukua bure
Tena baba yake kiasi alichotajiwa atoe alisema hana, ndio wakakata tamaa, ikabidi dogo aingie france
Ni kama hawa wamorocco nao, wengi wametoa hela kuingia kwenye timu yao ya taifa, maana timu ilikuwa haiwataki kisa wengi wamezaliwa ulaya na kukulia huko
Na huu ndio ujinga wa timu nyingi za africa kukatalia raia wao kuchezea timu zao bila kuangalia ubora kisa tu walizaliwa na kukulia ulaya kwahiyo wanaonekana siyo wazalendo kabisa
Anyway sasa hivi nina uhakika mbappe atakuwa anashukuru na cameroon wanajuta
Tumekusikia. Mbappe nae ule upande atatupa penalt.Kesho mtakuwa na kibarua kigumu kumdhibiti Messi na wale viungo wa Argentina.
Mtawakumbuka Pogba na Kante maana hawa walikuwa na mchango mkubwa sana mlipowafunga Argentina 4-3 kule Urusi.
Tate Mkuu Victoire Greatest Of All Time ras jeff kapita Saint Anne
Messi kesho atakuwa flopyyyyy.Sijaona mchezaji wa Ufaransa wa kumzuia Messi walishindwa wakina pepe, Ramos, Gatusso labda umapecano ataweza[emoji23]
Sijaona mchezaji wa Ufaransa wa kumzuia Messi walishindwa wakina pepe, Ramos, Gatusso labda umapecano ataweza[emoji23]
Messi kesho atakuwa flopyyyyy.
ππππ naangalia homeKesho baada ya kutoka kanisani tuu, natafuta chimbo zuri la kucheki Fainal.
Kwahyi baada ya kutoka ibadani jambo ni moja tu Fainali.
Nyumbani natarajia kurudi keshokutwa.πππ
Cc: Depal
π€£π€£π€£π€£π€£Yani hiyo kesho hakikisheni mnachukua, vinginevyo sijui mtatuambia nini humu jukwaani maana maandalizi yenu yana fujo
Mbappe hawezi kuongea hivo.. Hii habari itakuwa imetokea sky sports ya Nzovwe[emoji7][emoji108][emoji91]
[emoji1073][emoji119]View attachment 2450151
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyu mimi ananiogopesha kusababisha penalt. Bora Konate.Naomba kesho aanze huyo umapecano [emoji16]
Oya hivi watu wa Mbeya unatuchukuliaje wewe??Mbappe hawezi kuongea hivo.. Hii habari itakuwa imetokea sky sports ya Nzovwe
Messi kesho atakuwa flopyyyyy.
Kwako unasema ulimezwa na samaki?Kesho baada ya kutoka kanisani tuu, natafuta chimbo zuri la kucheki Fainal.
Kwahyi baada ya kutoka ibadani jambo ni moja tu Fainali.
Nyumbani natarajia kurudi keshokutwa.πππ
Cc: Depal