Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Brazil alitwaa ubingwa mwaka 1958 michuano iliyofata mwaka 1962 akaenda kutetea ubingwa na kushinda tena. Tokea hapo hakuna tena bingwa aliyeweza kutetea ubingwa wake
Oooh hapo sawa,hakuna anaetufikia btw we have 5 stars[emoji1054][emoji1054][emoji1054]

Am praying for france aongeze ya 3[emoji1073][emoji1073][emoji1073]
 
Yeah hicho ndicho nilichomaanisha, kwamba cameroon walimkataa kwa kumpa masharti bila kuangalia ubora, wakati france walimchukua bure

Tena baba yake kiasi alichotajiwa atoe alisema hana, ndio wakakata tamaa, ikabidi dogo aingie france

Ni kama hawa wamorocco nao, wengi wametoa hela kuingia kwenye timu yao ya taifa, maana timu ilikuwa haiwataki kisa wengi wamezaliwa ulaya na kukulia huko

Na huu ndio ujinga wa timu nyingi za africa kukatalia raia wao kuchezea timu zao bila kuangalia ubora kisa tu walizaliwa na kukulia ulaya kwahiyo wanaonekana siyo wazalendo kabisa

Anyway sasa hivi nina uhakika mbappe atakuwa anashukuru na cameroon wanajuta
Ninasikia hata Ghana wanatoa hela ili uitwe timu ya Taifa.Cameroun pia hata safari hii kuna
Kesho mtakuwa na kibarua kigumu kumdhibiti Messi na wale viungo wa Argentina.

Mtawakumbuka Pogba na Kante maana hawa walikuwa na mchango mkubwa sana mlipowafunga Argentina 4-3 kule Urusi.
Tate Mkuu Victoire Greatest Of All Time ras jeff kapita Saint Anne
Tumekusikia. Mbappe nae ule upande atatupa penalt.
 
Messi kesho atakuwa flopyyyyy.
8226E34A-B28A-4FCC-9A82-69B9FC45050A.jpeg
 
Kesho baada ya kutoka kanisani tuu, natafuta chimbo zuri la kucheki Fainal.

Kwahyi baada ya kutoka ibadani jambo ni moja tu Fainali.

Nyumbani natarajia kurudi keshokutwa.😂😂😂

Cc: Depal
😂😂😂😂 naangalia home
Nakuwa Live kwenye huu uzi

Ndo kama kutakuwa kunakulia, nililie ndani
 
Back
Top Bottom