Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jamii gani haina ubaguzi dunia hii?
 
Ubaya ni kwamba wakati France anachukua ndoo 2018 kulikua hamna damu mpya ambazo sasa hivi zipo,Wachezaji kama Tchoumeni,Upmecano,Kounde,Rabiot,kolo wanatamani wachukue ubingwa ambao kwa percent kubwa wao wamechangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Didie deschamps kocha mwenye uwezo mdogo na bahati,uglyfootball...Ufaransa inakizazi cha wachezaji wenye vipaji na wazuri.
Tukulize wew bahati ndio kitu Gani kocha kaenda final ya euro 2016 pale France kaenda kubeba kombe la Dunia 2018 pale Russia kaenda final ya kombe la Dunia mwaka 2022 wew unatuleta utopolo wako apa twambie wew awo makocha wako wasio na bahati ila wanauwezo wamebeba kitu Gani
 
Wengi pia walienda USA na ndo waasisi wa NASA.. Sio issue maana haihusiani na mpira
ni kweli lakini wale majangili hasa ndo naongelea

Sio wanazi wote walihusika na unyama
hao wa marekani wengi walikua ni wanasayansi waliojenga mitambo huko ujerumani

Naongelea wale wanazi hasa type kama
Hao ambao Putin aliahidi kuwafuta huka ukreini!
.
Namuongelea jangili kama Adolf Eichmann na wengineo

Anyway turudi kwenye mpira sasa
Haya tuyaache
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa king Leon Messi.

Ila sioni leo hawa Argentina wakitoka.

Kama wakiingia na 'scenario' yao ya all balls to Messi huenda mechi ikaisha kwenye half ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama umewahi kuwaona Argentina wakicheza. Ni timu bora zaidi kwa sasa hapa duniani na haimtegemei mchezaji mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…