BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Jamii gani haina ubaguzi dunia hii?Mbona Croatia hawana mtu mweusi bana. Kutikua na mtu mweusi sio shida sana.
All in all hawa Waargentina wana ubaguzi wa rangi ukifatilia historia utafahamu
Hata majangili ya ujerumani wa NAZI walikwenda kujificha huko Argentina
Hata Hitler mwenyewe kuna tetesi alikimbilia huko