United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Eti Messi GOAT ivi ili jina nani alimtajia Messi ni GOAT wa nin tuanzie kwanza apo mana naona ili jina mnalitamka tamka ovyo kweli Messi ni GOAT wa kupiga penati za mchongo au GOAT wa nin