Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
.. Legends.....hii ilikuwa Euro 2020?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.. Legends.....hii ilikuwa Euro 2020?
Huu ugomvi wa wazi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Argentina sio Morocco..Vijana wakipongezana baada ya ushindi mnono dhidi ya Argentina View attachment 2450512View attachment 2450513View attachment 2450514View attachment 2450515
Siku maalumu Special day kwa Diego Maradona Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] vamosssssssssssVijana wakipongezana baada ya ushindi mnono dhidi ya Argentina View attachment 2450512View attachment 2450513View attachment 2450514View attachment 2450515
UEFA Euro 2020 Championship walipokutana France na Portugal.. Legends.....hii ilikuwa Euro 2020?
Kiongozi mbona cameroon kulikuwa hamna hata mzungu mmoja 😀America nzima Kuna weusi Ila Argentina tu ndyo hakuna weusi wabaguzi wakubwa nyie
Mbape anakula karanga mbichi sshv [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji471][emoji471][emoji471]
France kama Saudi ArabiaArgentina sio Morocco..
Messi atawaonyesha kwanini ndiye GOAT..France wanachukua tena back to back kwa sababu wana timu nzuri techinically kuliko Argentina.
Licha ya damu changa pia wana watu wa kuamua matokeo.
Siioni Argentina wakitoboa..
Sent using Jamii Forums mobile app
France angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.Yani mashabiki wa France shangilieni kbsa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] huyo mapunye kirikuu ana gundu na kombe la dunia timu ibebe kombe la dunia kila mechi inapewa mipenati
Kwahiyo?Niwaibie siri team Messi, Karim Benzema leo yupo
Sisi ufaransa kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weusiFrance angekuwa hajabeba World Cup hivi karibuni ningesema Game ya leo anaweza akambania Argentina asibebe.
Mbape amenyanyua kwapa kubeba hili kombe 2018 pamoja na wenzie, wao pia ni wanadamu. Hawawezi kukaza mshipa kumbania Messi akiyepambana ktk carrier yake kwa zaidi ya miaka 18 pasipo World Cup.
Hii ni nukuu kwa hisani ya Aleyn iwafikie Wafaransa weusi wote..kina
ukikaidi utapigwa2 United ya Ferguson
Scars NAJYUZ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiongozi mbona cameroon kulikuwa hamna hata mzungu mmoja [emoji3]
Tutengeneze tu vyakwetu navyo viwe vizuri kama wenzetu we umeona timu za africa zilivyocheza wachezaji kama wana viroba mgongoni