Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sisi ufaransa kombe la dunia ni kwa ajili ya watu weusi
AFU furaha yetu ufaransa ni mapunye akose kombe la dunia kirikuu wa manzese
Wale weusi ni Wafaransa sio wamatumbi wenzako (japo wana asili ya huko kwa wamatumbi)...

Wewe utakuwa mshabiki wa CR7 ndio maana Messi anakutesa.
Its Pancho
 
Kuna mwamba alitabiri mesi kuchukua kombe la dunia leo.. jamaa alitabiri 7 years ago.. 2015... hii imeshangaza wengi alijuaje tarehe ya fainali tokea mwaka huo 2015..
IMG_0360.jpg
 
View attachment 2450648
Leta profile yako na jina lako nikitengeneza kitu Kama hicho uonekane kifoo Cha mzee ulitabiri Toka 2005 kuwa itakua hivi na hivi
 
Kuna mwamba alitabiri mesi kuchukua kombe la dunia leo.. jamaa alitabiri 7 years ago.. 2015... hii imeshangaza wengi alijuaje tarehe ya fainali tokea mwaka huo 2015..
View attachment 2450648
Wew mwenyewe unaweza kuwa mtabili ukitaka hujaamua tu kua mganga wa jadi ila Kwa kukumbusha France ndio bingwa wa Dunia
 
Back
Top Bottom