Na awo watoto wakirabu wasiwavuruge vichwa had mkasahau kua kipigo kinakujaBurudani ya pisi za kiarabu tumemaliza tunasubiri ya messi
Shuka sasa hivi, usipitwe kabisa pesa kitu gani? Makaratasi tu hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,
kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.
Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.
BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
Unaambiwa hata wafaransa wenyewe wanatamani Argentina abebeNa awo watoto wakirabu wasiwavuruge vichwa had mkasahau kua kipigo kinakuje
Nyiny mlichagua kusafiri endeleni tu na safari mim ningekua dereva ningechoma mwendo hakuna kusimama MahaliTupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,
kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.
Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.
BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
Hamkujua ratiba? Hamna tv kwenye gar? Hamna smarphone?Na awo watoto wakirabu wasiwavuruge vichwa had mkasahau kua kipigo kinakuja
Umepoteana, nakati Dereva yupo upande wetu, hapa tuna njama tukifika watu wakienda kununua vitu apotee kwanza.Nyiny mlichagua kusafiri endeleni tu na safari mim ningekua dereva ningechoma mwendo hakuna kusimama Mahali
MKUU KAMA WEWE NI ARGENTINA SHUKA UANGALIE GAME NTAKUJAZIA NAULITupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,
kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.
Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.
BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
Nipo HAPA, niite Lapulga.Team messi tujuane mapema..!![emoji120][emoji120][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,
Kuna abiria tunaotaka tukifika sehem flan gari isimame watu wangalie mechi,
kuna wengine wanasema dereva avute wese tukaangalie kipindi cha pili tukiwa tumefika, na wengine wanasema hamna cha kusimama wala kukimbiza gari, eti "tukifa?" watu wamemaindi, eti mzee mzima unaogopa kufa..? Na ndio mbishi gari zima.
Watu tunapendekeza kura zipigwe, japo wengine bado nalo ni mzozo.
Subirini mrejesho.
BTW mimi Bora nilale njiani, mechi lazima niione.
[emoji16]MKUU KAMA WEWE NI ARGENTINA SHUKA UANGALIE GAME NTAKUJAZIA NAULI
NotedUFARANSA ASIPOCHUKUA KOMBE LA DUNIA LEO SITUMII TENA JF NAACHANA NA YOLLY YOLLY[emoji7] NA NIPIGWE BAN LA MWAKA MZMA
Sema kukosa final ya kombe la Dunia ni dhambiUmepoteana, nakati Dereva yupo upande wetu, hapa tuna njama tukifika watu wakienda kununua vitu apotee kwanza.
Hiyo tv kwenye gari wanaangalia online au inakuwaje!?Hamkujua ratiba? Hamna tv kwenye gar? Hamna smarphone?
Naona mnapigiana kula kuhusu uhai wenu nani afe nani abaki😅😂 natania tu 🤭Tupo safarini, kumeibuka bonge ya mjadala,