The Dakta 😃Kwan yeye ndio nan?
LE3O NAANGFALIA MECHI NIKO CHIU.......ARGENTINA ANAFUNGAAAAAAAAAAAAA. AKIFUNGWA NIITE KUKU KOKORIKOOOArgentina inapigwa kama ngoma leo
Utanyamaza tuWaletee haooo Argentina piga haooooo Argentina na Messi
Te transferiré a Francia para que te comas una cabrá 😀¿cuál?
Baada ya 2 hrs zijazo nitakuita kokorikoooLE3O NAANGFALIA MECHI NIKO CHIU.......ARGENTINA ANAFUNGAAAAAAAAAAAAA. AKIFUNGWA NIITE KUKU KOKORIKOOO
Na Nyimbo lenu la taifa lilivyo bayaUtanyamaza tu
Yap na wa muda mrefuHuyu ni mchambuzi mahili wa mipira ya kimataifa....yupo hapo TBC1 usimchukulie poa. Mara nyingi alikuwa akibet anakula mechi nyingi tu hadi wahindi wanamkimbia...
Tuliza tako hapo , ujue nani anapigwa leo