Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilisema Herve ni noma, watu wanasema tu Zambia kachukua CAF ila wanasahau huyu jamaa mchango wake.

Hata Queiroz si mbaya subiri vs Wales.
 
Mimi nilipoona tu wamemchukua Otamendi na kina Di Maria nikajua hawafiki mbali

Kuna jamaa hapo juu nilimwambia hata Argentina akishinda leo ila hawezi mfunga Brazil kwa namna yoyote ile kwa aina ya Squad yao
Soka halipo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…