Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

HuyuHeve Renard no kocha kweli kweli

hawa kina Sanchez na Queiroz wa Qatar na Iran wanakula pesa ya bure ya waarabu

timu zao hata pasi mboili hawawezi piga

Heve Renard ana CV nzuri sana
Saudi Arabia wanachezaa vizuri mno ukilinganisha na waarabu wenzao
Nilisema Herve ni noma, watu wanasema tu Zambia kachukua CAF ila wanasahau huyu jamaa mchango wake.

Hata Queiroz si mbaya subiri vs Wales.
 
Mimi nilipoona tu wamemchukua Otamendi na kina Di Maria nikajua hawafiki mbali

Kuna jamaa hapo juu nilimwambia hata Argentina akishinda leo ila hawezi mfunga Brazil kwa namna yoyote ile kwa aina ya Squad yao
Soka halipo hivyo
 
Back
Top Bottom