Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,901
Wamepaki basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudi wanacheza mpira biriani leo. Afu kipanwa Saud nampa salute. Hana mbambambaDah argentina kweli mdebwedo
Mkuu, najua kwa mechi hii ya leo bado Argentina anaweza kushinda lakini hatafika mbali, angali game ya mwisho ya Copa America au ile waliompiga Italy 3 kwa 0 kikosi kilikuaje na hikiSoka halipo hivyo
Leo ndio siku mchezaji bora kuwahi kutokea duniani anaingia uwanjani
Si mwingne ni La pulga
Ningependa kocha atumie 4-4-2 ili messi awe karibu na goli muda mwingi pmj na dogo alvarez
Kule nyuma kocha amwamini martinez asimame na otamend Wana work rate nzuri kuliko romero
Prediction
Agentina 3- 0 saudi arabia
Kweli mwanawane hapa argentina anatafuta draw sasaSaudi wanacheza mpira biriani leo. Afu kipanwa Saud nampa salute. Hana mbambamba
Nashangaa wengi wanaipa nafasi, ngoja tuone mwisho wake.Mimi ni Argentina [emoji1033] since 1994 but hamna timu hapa hatutafika mbali
MtumeeeeSaudi 2 arg 1
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mikeka hoi. Nilimbania Saudia asipate goli hata moja..ona hawa mbwa wamepigwa viwili.
Mungu saidia Argentina apigwe kama ngoma.
Nime bookmark hii comment mzeeMuda ni mwalimu mzuri
Kwa wanaobet magoli wanateleza tu.Hapa ndio mtu mkeka umechanika..