Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nilisema ila kocha wa Agentina bwege uyu
Leo ndio siku mchezaji bora kuwahi kutokea duniani anaingia uwanjani

Si mwingne ni La pulga

Ningependa kocha atumie 4-4-2 ili messi awe karibu na goli muda mwingi pmj na dogo alvarez


Kule nyuma kocha amwamini martinez asimame na otamend Wana work rate nzuri kuliko romero


Prediction
Agentina 3- 0 saudi arabia
 
Msifikiri Senegal anaweza kumfunga Ecuador,wale jamaa wanatoka america ya kusini..mkumbuke kule Kuna vidume vimebaki kama vile Chile,Colombia,Paraguay,na huyo Uruguay amepita Kwa mbinde sana,labda tupambane na maostadh wale...
 
Tunaomba Uingereza tukutane na Argentina mapema sana. Iwe 16 bora endapo atabahatika kupenya.

Tutamtandika mpaka tukanong'onezwe vyumbani kuwa tusimuaibishe Messi
 
Back
Top Bottom