The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hilo pengo limeonekana leo tuu? Mechi zilizopita mpaka wamefika final hilo pengo halikuonekana?Pengo la Pogba na Kante ni kubwa sana Sena Argentina wamecheza Kwa kujitoa sana France kama wamepigwa spana miguuni
😀😀😀😀