Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

PALE ZARAU INAPOGEUKA UTUKUFUUUU
NIKIKUMBUKA ILE MECHI YA ARGENTINA NA SAUDI ILIVYOLETA ZARAU NA KEJELI KWA MESSI NA ARGENTINA....KWELI MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU NA KILA MAHALI UKUU WAKE UNAONEKANA. MESSI WITH A VERY HUMBLE AND POOR BACKGROUND ILA LEO NI GUMZO DUNIA NZIMA. ETI UWANJANI HUKO QATAR MAKADIRIO YA WATU 2000 TU NDO TEAM FRANCE ILA WENGINE WOTE NI ARGETNTINA SUPPORTERS
HATA HAWA WANAOJITIA HAWAMPENDI NI BASI TU WIVU NA CHUKI ZAO KWAMBA WHY MESSI ILA MESSSI NI MAJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ASANTE YESU ASANTE MUNGU USIYESHINDWA
Vamosssss vamosssssssssss
 
Toka kuanzishwa kwa michuano ya FIFA ya Kombe la Dunia, nadhani hii ndio Fainali mbovu zaidi.

Mchezo hauna hadhi kabisa ya Fainali.
 
Jamani aliyepo karibu na huyu mtangazaji wa TBC anayeitwa Nazareth Utepe amuambie atangaze Mpira. Jamaa anatumia muda mwingi kutoa Mipasho tuuuuuuuu hadi inaboa sana . Anatakiwa kuuzungumzia mpira unaochezwa na sio kutumia muda kuzungumzia maoni yake na mibasho.

Msikilizeni mtaona ninachokisema
 
Back
Top Bottom