The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hilo pengo limeonekana leo tuu? Mechi zilizopita mpaka wamefika final hilo pengo halikuonekana?Pengo la Pogba na Kante ni kubwa sana Sena Argentina wamecheza Kwa kujitoa sana France kama wamepigwa spana miguuni
[emoji23][emoji23] Messi mshenzi sana anatunyanyasaLeo anaweza kumaliza Pakti nzima huyu[emoji1787]
MESSI ANATAFUNA NINI
Nyie ni kuchanja mbuga tu.Sisi ni kuchanja mbuga tu
Viva France Bingwa Mtetezi na Mteule [emoji1073]
Aya basi sis ni wabovu tumekubali mabigwa wa DuniaHilo pengo limeonekana leo tuu? Mechi zilizopita mpaka wamefika final hilo pengo halikuonekana?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaionaje hiyo?
Imekaa poa?
lilionekana toka mechi ya england na moroccoHilo pengo limeonekana leo tuu? Mechi zilizopita mpaka wamefika final hilo pengo halikuonekana?
ππππ
Tate Mkuu Saint Anne Victoire ukikaidi utapigwa2 Scars mnaitwa huku...JAMAN WAFRANSA WA JF WHERE ARE U
Tate Mkuu Saint Anne Victoire ukikaidi utapigwa2 Scars mnaitwa huku...JAMAN WAFRANSA WA JF WHERE ARE U
Kumdhibiti wanaweza sasa?Mbappe asiwe na wasiwasi na sisi, kwenye ishu ya ushangiliaji hatutamuangusha cha msingi aongee na wenzake atuhakikishie the penalty GOAT hawi na madhara
Akidhibitiwa huyo tu baaasii
Kina rabiot wamezidiwa mipango, coach wa argentina kafanya overload ya midfielders.Pengo la Pogba na Kante ni kubwa sana Sena Argentina wamecheza Kwa kujitoa sana France kama wamepigwa spana miguuni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Messi mshenzi sana anatunyanyasa