Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Vamosssss vamosssssssssss
 
Mkuu France hajazidiwa kati tuu,
Kipa mwenyewe kazidiwa,

Giroud Mwenyewe sijawahi muamini ila mzee wa watu ashajitokea...
Hawa jamaa leo hawana chao,
Wakishinda hii gemu ni ubakaji.
Wamezidiwa kiroho, kinafsi, kiakili na kimwili πŸ˜‚πŸ€£
 
Toka kuanzishwa kwa michuano ya FIFA ya Kombe la Dunia, nadhani hii ndio Fainali mbovu zaidi.

Mchezo hauna hadhi kabisa ya Fainali.
 
Jamani aliyepo karibu na huyu mtangazaji wa TBC anayeitwa Nazareth Utepe amuambie atangaze Mpira. Jamaa anatumia muda mwingi kutoa Mipasho tuuuuuuuu hadi inaboa sana . Anatakiwa kuuzungumzia mpira unaochezwa na sio kutumia muda kuzungumzia maoni yake na mibasho.

Msikilizeni mtaona ninachokisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…