Kocha wa Argentina aambiwe asifanye majaribio kwenye mashindano
Anajaribu suti siku ya harusi.Kocha wa Argentina aambiwe asifanye majaribio kwenye mashindano
Sio kapigwa tu kapigwa bonge moja mgoli Messi anakuna tu midevu yake kama libeberuAiseeeeee kumbe Argentina kachezea goli mbili mazeee???
🤣🤣🤣🤣Mikeka iko hoi
Sio mbaya mkuu. Uko positive. Nakubali.Muda bado wakuu
🤣Hehehehehheh favorite. Ma ma e. Nikakojoe mimi nipige job. Nitarudi baada ya kazi kuangalia matokeo tena.