Goat amekuwa sheep...kama sio ndamaKwani kuna habari ganii
Hatare sana!Zimesalia dakika 9
Mkeka wangu nahitaji goli moja tu la ArgentinaHahahahaha mzee mkeka wako unapumulia icu
Msimalize maneno jameni...wekeni akiba kidogo..tutawashangaza!Mnatutia aibu Saudi Arabia anawafunga magoli makali kama ivi afu mnataka kombe labda kombe la mbuzi Argentina hawez kupambana na timu za ulaya ilo Goli la pili la Saudi Arabia unaombea mkopo benki
Mende kapindua meza mkuu!Kwani kuna habari ganii
Unalipata dk za lala salamaMkeka wangu nahitaji goli moja tu la Argentina
SimuelewiiiNarudia kwa mara ya tatu...goal keeper wa waarabu.... Aheeemmmm
🤣🤣🤣🤣nilisema mimi kkwenye kombe la dunia amna timu inayostaili odd ya 1.18 kule watu wanacheza jihad mmeona sasa[emoji3][emoji3]
Namuelewa.....yuko very sharp. Anajitahidi sana. Anajua sanaSimuelewiii
Kipind natype hii kadaka tena...Namuelewa.....yuko very sharp. Anajitahidi sana. Anajua sana
Kuna mda kama anajisahau ...Namuelewa.....yuko very sharp. Anajitahidi sana. Anajua sana