Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unafunga hatrick kwenye fainali na bado hunyanyui kwapa kudadadeki.
Definitely. Mungu ampe umri mrefuBado mdogo and he has it all. What a player, gg argentina and messi & co
Scars kila anaposapoti pakimbie huwa anakuwa na kagundu🤣🤣Atakuja mvimbiwa makande aanze kutapika.
Rudi sasaKama ufaransa watashinda kuna swali ntarudi kuuliza humu
Atakuwa mchawi huyoSidhani kama kuna mtu atamlaumu mbappe
Wewe ungekuwa mweupe ungekuwa mbaguzi mkubwa sanaTimu ikishajaa watu weusi wewe jua tu ni majanga kwenye matuta
Ufaransa walipoteza penalty 2006 na sasa 2022There’s nothing more Mbappe could have done. A hat-trick and a penalty shootout goal in a World Cup final. This trophy was destined to go to Argentina.
nipo mkuu so emtionalllWhere is Nakadori
Scars kila anaposapoti pakimbie huwa anakuwa na kagundu🤣🤣Atakuja mvimbiwa makande aanze kutapika.
aseee mpira kumbe kushabikia ndio stress hivi 🙂🙂🙂 aseeeOle wako🤣🤣🤣
Inabd kwenda St. Joseph kushukuruKwaniaba ya waargentina wote nchini Tanzania. Tumezipokea
dah zipo salama mkuu hii game itatengenezewa documentary nyingi sana[emoji23][emoji23]Hazijapasuka kweli maana kwa ile shughuli ya mbappe utakuwa umeumia sana[emoji16][emoji16]